Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Sanaa la Taifa Prof. Saudin J. Mwakaje akiongoza kikao cha kawaida cha Bodi mbele ya wajumbe na timu ya menejimenti katika ukumbi wa BASATA tarehe 29 Julai, 2024.
“Nakumbuka nikiwa mdogo kabisa mwanzoni mwa miaka ya 1980 nilikuwa naambatana sana na Baba yangu kila anapoenda kuimba na kwa kule kijijini hayakuwa matamasha makubwa isipokuwa ni yale ya kushindana na kuhamasisha kufanya kazi kwa bidi hususani wakati wa kulima kwa makundi au mavuno maarufu kwa jina la chapa ya ng’ombe” amesema Jilema Ng’wana Shija.
Afisa sanaa Baraza la sanaa la Taifa Bwana Agostino Makame (kulia) akitoa maelezo juu ya michoro inayoonekana katika picha kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Five Star Travel na mdau wa sanaa alipotembelea ofisi za BASATA.
Mhe. Prof. Palamagamba F. Kabudi (Mb) wa jimbo la Kilosa akisikiliza maelezo ya mchoro wa picha kutoka kwa msanii wa uchoraji Bi. Beatha Theonest mara baada ya kutembelea banda la Baraza la Sanaa la Taifa katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma tarehe 23 Mei, 2024.
Msanii Dulla Makabila akiwa amebeba tuzo za TMA-2022
Waziri Dkt. Ndumbaro akiwa na Watumishi wa BASATA
Sanaa kwa Watoto Mashuleni
Sanaa Mtaa kwa Mtaa- Njombe
Tamasha la Pili la Kitaifa la Utamaduni-Njombe
Katibu Mtendaji BASATA akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa Sanaa