Tuzo za Muziki Tanzania ni tuzo za kwanza Africa kupata support kutoka kituo cha kimataifa cha MTVbase na BET Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) zimejipanga kubadilisha tasnia ya tuzo za muziki, kusherehekea ubora katika muziki wa Kiafrika kama ambavyo haijawahi kutokea